Yer. 16:16 SUV

16 Tazama, asema BWANA, Nitatuma watu kuwaita wavuvi wengi, nao watawavua; na baada ya hayo nitatuma watu kuwaita wawindaji wengi, nao watawawinda, watoke katika kila mlima, na kila kilima, na pango za majabali.

Kusoma sura kamili Yer. 16

Mtazamo Yer. 16:16 katika mazingira