Yer. 17:13 SUV

13 Ee BWANA, tumaini la Israeli, wote wakuachao watatahayarika. Wao watakaojitenga nami wataandikwa katika mchanga, kwa sababu wamemwacha BWANA, kisima cha maji yaliyo hai.

Kusoma sura kamili Yer. 17

Mtazamo Yer. 17:13 katika mazingira