Yer. 17:18 SUV

18 Na waaibike watu wanaoniudhi, lakini nisiaibike mimi; na waone hofu kuu, lakini mimi nisione hofu kuu; ulete juu yao siku ya uovu; uwaangamize maangamizo maradufu.

Kusoma sura kamili Yer. 17

Mtazamo Yer. 17:18 katika mazingira