Yer. 17:24 SUV

24 Na itakuwa, kama mkinisikiliza mimi kwa bidii, asema BWANA, msiingize mzigo wo wote kwa malango ya mji huu siku ya sabato, bali mkiitakasa siku ya sabato, bila kufanya kazi yo yote siku hiyo;

Kusoma sura kamili Yer. 17

Mtazamo Yer. 17:24 katika mazingira