Yer. 17:6 SUV

6 Maana atakuwa kama fukara nyikani,Hataona yatakapotokea mema;Bali atakaa jangwani palipo ukame,Katika nchi ya chumvi isiyokaliwa na watu.

Kusoma sura kamili Yer. 17

Mtazamo Yer. 17:6 katika mazingira