Yer. 18:4 SUV

4 Na chombo kile, alichokuwa akikifinyanga, kilipoharibika mkononi mwake yule mfinyanzi, alikifanyiza tena kuwa chombo kingine, kama alivyoona vema yule mfinyanzi kukifanya.

Kusoma sura kamili Yer. 18

Mtazamo Yer. 18:4 katika mazingira