Yer. 19:14 SUV

14 Kisha Yeremia akatoka huko Tofethi, huko ambako BWANA alimtuma atoe unabii; naye akasimama katika ua wa nyumba ya BWANA, akawaambia watu wote,

Kusoma sura kamili Yer. 19

Mtazamo Yer. 19:14 katika mazingira