Yer. 19:5 SUV

5 nao wamemjengea Baali mahali pake palipo juu, ili kuwachoma moto wana wao, wawe sadaka za kuteketezwa kwa Baali; tendo nisiloliamuru mimi, wala kulinena, wala halikuingia moyoni mwangu;

Kusoma sura kamili Yer. 19

Mtazamo Yer. 19:5 katika mazingira