Yer. 2:2 SUV

2 Enenda ukalie masikioni mwa Yerusalemu, ukisema, BWANA asema hivi,Nakukumbuka, hisani ya ujana wako,upendo wa wakati wa uposo wako;Jinsi ulivyonifuata huko jangwani,katika nchi isiyopandwa mbegu.

Kusoma sura kamili Yer. 2

Mtazamo Yer. 2:2 katika mazingira