Yer. 2:30 SUV

30 Nimewapiga watoto wako bure; hawakukubali kurudiwa; upanga wenu wenyewe umewala manabii wako, kama simba aharibuye.

Kusoma sura kamili Yer. 2

Mtazamo Yer. 2:30 katika mazingira