Yer. 2:35 SUV

35 Lakini ulisema, Sina hatia mimi; bila shaka hasira yake imegeuka na kuniacha. Tazama, nitaingia hukumuni pamoja nawe, kwa sababu unasema, Sikutenda dhambi mimi.

Kusoma sura kamili Yer. 2

Mtazamo Yer. 2:35 katika mazingira