Yer. 2:37 SUV

37 Hata kwake pia utatoka, na mikono yako juu ya kichwa chako; kwa maana BWANA amewakataa uliowakimbilia, wala hutafanikiwa katika hao.

Kusoma sura kamili Yer. 2

Mtazamo Yer. 2:37 katika mazingira