Yer. 20:3 SUV

3 Hata ikawa, asubuhi, Pashuri huyo akamtoa Yeremia katika mkatale. Ndipo Yeremia akamwambia, BWANA hakukuita jina lako Pashuri, bali Magor-misabibu.

Kusoma sura kamili Yer. 20

Mtazamo Yer. 20:3 katika mazingira