Yer. 22:17 SUV

17 Bali macho yako na moyo wako hauna utakalo ila kutamani, na kumwaga damu isiyo na hatia, na kudhulumu, na kutenda jeuri.

Kusoma sura kamili Yer. 22

Mtazamo Yer. 22:17 katika mazingira