2 ya kwamba, Sikia neno la BWANA, Ee mfalme wa Yuda; wewe uketiye katika kiti cha enzi cha Daudi, wewe, na watumishi wako, na watu wako wote waingiao kwa malango haya;
Kusoma sura kamili Yer. 22
Mtazamo Yer. 22:2 katika mazingira