Yer. 22:21 SUV

21 Mimi nalisema nawe wakati wa kufanikiwa kwako; lakini ulisema, Sitaki kusikia. Hii ndiyo iliyokuwa desturi yako tangu ujana wako, kutokuitii sauti yangu.

Kusoma sura kamili Yer. 22

Mtazamo Yer. 22:21 katika mazingira