Yer. 23:2 SUV

2 Kwa sababu hiyo BWANA, Mungu wa Israeli, asema hivi, juu ya wachungaji wanaowalisha watu wangu, Mmetawanya kundi langu, na kuwafukuza, wala hamkwenda kuwatazama; angalieni, nitawapatiliza uovu wa matendo yenu, asema BWANA.

Kusoma sura kamili Yer. 23

Mtazamo Yer. 23:2 katika mazingira