Yer. 23:27 SUV

27 Wanaodhania ya kuwa watawasahaulisha watu wangu jina langu kwa ndoto zao, wanazomhadithia kila mtu jirani yake, kama vile baba zao walivyolisahau jina langu, kwa ajili ya Baali.

Kusoma sura kamili Yer. 23

Mtazamo Yer. 23:27 katika mazingira