Yer. 23:36 SUV

36 Na mzigo wa BWANA hamtautaja tena; maana neno la kila mtu ndilo litakalokuwa mzigo wake; maana ninyi mmeyapotosha maneno ya Mungu aliye hai, ya BWANA wa majeshi, Mungu wetu.

Kusoma sura kamili Yer. 23

Mtazamo Yer. 23:36 katika mazingira