9 Naam, nitawatoa watupwe huko na huko katika falme zote za dunia, wapate mabaya; wawe kitu cha kulaumiwa, na mithali, na dhihaka, na laana, katika mahali pote nitakapowafukuza.
Kusoma sura kamili Yer. 24
Mtazamo Yer. 24:9 katika mazingira