Yer. 25:5 SUV

5 Akasema, Rudini sasa, kila mtu na aiache njia yake mbaya; uacheni uovu wa matendo yenu, mkae katika nchi ambayo BWANA aliwapa, ninyi na baba zenu, tangu zamani za kale na hata milele;

Kusoma sura kamili Yer. 25

Mtazamo Yer. 25:5 katika mazingira