Yer. 26:13 SUV

13 Basi sasa, tengenezeni njia zenu, na matendo yenu, mkaisikilize sauti ya BWANA, Mungu wenu; naye BWANA atayaghairi mabaya aliyoyanena juu yenu.

Kusoma sura kamili Yer. 26

Mtazamo Yer. 26:13 katika mazingira