16 Ndipo wakuu na watu wote wakawaambia makuhani, na manabii, wakisema, Mtu huyu hastahili kuuawa; kwa maana amesema nasi katika jina la BWANA Mungu wetu.
Kusoma sura kamili Yer. 26
Mtazamo Yer. 26:16 katika mazingira