Yer. 26:20 SUV

20 Tena, kulikuwa na mtu aliyetabiri katika jina la BWANA, Uria, mwana wa Shemaya, wa Kiriath-Yearimu; yeye naye alitabiri juu ya mji huu, na juu ya nchi hii, sawasawa na maneno yote ya Yeremia;

Kusoma sura kamili Yer. 26

Mtazamo Yer. 26:20 katika mazingira