Yer. 26:5 SUV

5 kuyasikiliza maneno ya watumishi wangu, manabii, ninaowatuma kwenu, naam, nikiondoka mapema na kuwatuma; lakini ninyi hamkuwasikiliza;

Kusoma sura kamili Yer. 26

Mtazamo Yer. 26:5 katika mazingira