Yer. 27:1 SUV

1 Mwanzo wa kumiliki kwake Sedekia, mwana wa Yosia, mfalme wa Yuda, neno hili likamjia Yeremia, kutoka kwa BWANA, kusema,

Kusoma sura kamili Yer. 27

Mtazamo Yer. 27:1 katika mazingira