Yer. 27:22 SUV

22 Vitachukuliwa mpaka Babeli, navyo vitakaa huko, hata siku ile nitakapovijilia, asema BWANA; hapo ndipo nitakapovileta tena, na kuvirudisha mahali hapa.

Kusoma sura kamili Yer. 27

Mtazamo Yer. 27:22 katika mazingira