15 Kisha nabii Yeremia akamwambia nabii Hanania, Sikia sasa, Ee Hanania; BWANA hakukutuma; lakini unawatumainisha watu hawa maneno ya uongo.
Kusoma sura kamili Yer. 28
Mtazamo Yer. 28:15 katika mazingira