Yer. 28:9 SUV

9 Nabii atabiriye habari za amani, neno la nabii yule litakapotokea, ndipo nabii yule atakapojulikana, kuwa BWANA amemtuma kweli kweli.

Kusoma sura kamili Yer. 28

Mtazamo Yer. 28:9 katika mazingira