Yer. 29:19 SUV

19 Kwa sababu hawakusikiliza maneno yangu, asema BWANA, ambayo naliwatuma watumishi wangu, hao manabii, nikiamka mapema, na kuwatuma; lakini hamkutaka kusikiliza, asema BWANA.

Kusoma sura kamili Yer. 29

Mtazamo Yer. 29:19 katika mazingira