Yer. 29:25 SUV

25 BWANA wa majeshi, Mungu wa Israeli, asema hivi, ya kwamba, Kwa kuwa kwa jina lako mwenyewe umewapelekea barua watu wote walioko Yerusalemu, na Sefania, mwana wa Maaseya, kuhani, na makuhani wote, kusema,

Kusoma sura kamili Yer. 29

Mtazamo Yer. 29:25 katika mazingira