Yer. 29:4 SUV

4 BWANA wa majeshi, Mungu wa Israeli, awaambia hivi watu wote waliochukuliwa mateka, niliowafanya wachukuliwe toka Yerusalemu mpaka Babeli;

Kusoma sura kamili Yer. 29

Mtazamo Yer. 29:4 katika mazingira