Yer. 29:8 SUV

8 Maana BWANA wa majeshi, Mungu wa Israeli, asema hivi, Manabii walio kati yenu, na wabashiri wenu, wasiwadanganye ninyi, wala msisikilize ndoto zenu, mnazootesha.

Kusoma sura kamili Yer. 29

Mtazamo Yer. 29:8 katika mazingira