Yer. 3:19 SUV

19 Lakini mimi nalisema, Nitawezaje kukuweka pamoja na watoto, na kukupa nchi ipendezayo, urithi ulio mwema wa mataifa? Nami nikasema, Mtaniita, Baba yangu, wala hamtageuka na kuacha kunifuata.

Kusoma sura kamili Yer. 3

Mtazamo Yer. 3:19 katika mazingira