Yer. 3:22 SUV

22 Rudini, enyi watoto waasi, mimi nitaponya maasi yenu. Tazama, tumekuja kwako; maana wewe u BWANA, Mungu wetu.

Kusoma sura kamili Yer. 3

Mtazamo Yer. 3:22 katika mazingira