Yer. 3:25 SUV

25 Na tulale kwa aibu yetu, haya yetu na itufunike; kwa maana tumemwasi BWANA, Mungu wetu, sisi na baba zetu, tangu ujana wetu hata leo; wala hatukuitii sauti ya BWANA, Mungu wetu.

Kusoma sura kamili Yer. 3

Mtazamo Yer. 3:25 katika mazingira