Yer. 30:14 SUV

14 Wote wakupendao wamekusahau; hawakutafuti; maana nimekujeruhi kwa jeraha ya adui, kwa adhabu ya mtu mkatili; kwa sababu ya ukubwa wa uovu wako, kwa sababu dhambi zako zilikuwa zimeongezeka.

Kusoma sura kamili Yer. 30

Mtazamo Yer. 30:14 katika mazingira