Yer. 30:8 SUV

8 Na itakuwa katika siku ile, asema BWANA wa majeshi, nitaivunja nira yake itoke shingoni mwako, nami nitavipasua vifungo vyako; wala wageni hawatamtumikisha tena;

Kusoma sura kamili Yer. 30

Mtazamo Yer. 30:8 katika mazingira