Yer. 31:35 SUV

35 BWANA asema hivi, awapaye watu jua, ili kuwa nuru wakati wa mchana, na amri za mwezi na nyota, ili kuwa nuru wakati wa usiku, aichafuaye bahari, hata mawimbi yake yakavuma; BWANA wa majeshi, ndilo jina lake;

Kusoma sura kamili Yer. 31

Mtazamo Yer. 31:35 katika mazingira