Yer. 31:4 SUV

4 Mara ya pili nitakujenga, nawe utajengwa, Ee bikira wa Israeli mara ya pili utapambwa kwa matari yako, nawe utatokea katika michezo yao wanaofurahi.

Kusoma sura kamili Yer. 31

Mtazamo Yer. 31:4 katika mazingira