Yer. 31:40 SUV

40 Na bonde lote la mizoga, na majivu, na mashamba yote mpaka kijito Kidroni, mpaka pembe ya lango la farasi, upande wa mashariki, patakuwa patakatifu kwa BWANA; hapatang’olewa, wala hapatabomolewa, hata milele.

Kusoma sura kamili Yer. 31

Mtazamo Yer. 31:40 katika mazingira