Yer. 32:15 SUV

15 Maana BWANA wa majeshi, Mungu wa Israeli, asema hivi, Nyumba na mashamba na mashamba ya mizabibu yatanunuliwa tena katika nchi hii.

Kusoma sura kamili Yer. 32

Mtazamo Yer. 32:15 katika mazingira