Yer. 32:20 SUV

20 wewe uliyeweka ishara na ajabu katika nchi ya Misri hata siku hii ya leo, katika Israeli na kati ya watu wengine; na kujifanyia jina kama ilivyo leo;

Kusoma sura kamili Yer. 32

Mtazamo Yer. 32:20 katika mazingira