Yer. 32:32 SUV

32 kwa sababu ya mabaya yote ya wana wa Israeli, na ya wana wa Yuda, waliyoyatenda ili kunitia hasira, wao, na wafalme wao, na wakuu wao, na makuhani wao, na manabii wao, na watu wa Yuda, na wenyeji wa Yerusalemu.

Kusoma sura kamili Yer. 32

Mtazamo Yer. 32:32 katika mazingira