Yer. 32:40 SUV

40 nami nitafanya agano la milele pamoja nao, kwamba sitageuka wala kuwaacha, ili niwatendee mema; nami nitatia kicho changu mioyoni mwao, ili wasiniache.

Kusoma sura kamili Yer. 32

Mtazamo Yer. 32:40 katika mazingira