Yer. 32:9 SUV

9 Basi nikalinunua shamba lile lililoko Anathothi kwa Hanameli, mwana wa mjomba wangu, nikampimia fedha yake, shekeli kumi na saba za fedha.

Kusoma sura kamili Yer. 32

Mtazamo Yer. 32:9 katika mazingira