12 BWANA wa majeshi asema hivi, Katika mahali hapa, palipo ukiwa, hapana mwanadamu wala mnyama, na katika miji yake yote, yatakuwapo makao ya wachungaji wakizilaza kondoo zao.
Kusoma sura kamili Yer. 33
Mtazamo Yer. 33:12 katika mazingira