Yer. 33:14 SUV

14 Tazama, siku zinakuja, asema BWANA, nitakapolitimiza neno lile jema nililolinena, katika habari za nyumba ya Israeli, na katika habari za nyumba ya Yuda.

Kusoma sura kamili Yer. 33

Mtazamo Yer. 33:14 katika mazingira