Yer. 33:18 SUV

18 wala makuhani Walawi hawatakosa kuwa na mtu wa kusimama mbele zangu, na kutoa sadaka za kuteketezwa, na kufukiza matoleo, na kufanya dhabihu daima.

Kusoma sura kamili Yer. 33

Mtazamo Yer. 33:18 katika mazingira