Yer. 33:21 SUV

21 ndipo agano langu nililolifanya na Daudi, mtumishi wangu, laweza kuvunjika, hata asiwe na mwana wa kumiliki katika kiti chake cha enzi; tena agano langu nililofanya na Walawi makuhani, wahudumu wangu, laweza kuvunjika.

Kusoma sura kamili Yer. 33

Mtazamo Yer. 33:21 katika mazingira